Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo wametoa KWa kuku.... Haina kitu hiyo...Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.
Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone
Hapo mbeya ntakupa contact kesho ni chunya au Mbeya MjiniMi nipo mkoa wa Mbeya kwasasa mkuu, we upo wapi?
Ni hata sijui ila ukitaka namba ya RMO Mbeya nakupaMbeya mjini mkuu
😂😂😂😂Hahaha umekuwa wale mambabu zetu waliokuwa wanacheza bao na almasi😆😆
Usijari mkuu, pale ofisi za madini mkoa Uhindini nina washkaji. Ngoja nikawaoneshe Kwanza nione watakavyotoa macho. Dogo anasema yapo mengi huko alipoyachukua hivi vipande. Nimejaribu kuangalia soko la Amber stone la Dubai naona wanauza kwa kg's duh🙄Ni hata sijui ila ukitaka namba ya RMO Mbeya nakupa
YellowstoneHayanaga ishu hayo. Yanauzwa Kwa tani
Hao uliowatag ndio wataalamu wa mawe au?[emoji3059]
magauda mengine ni white light kama changarawe tu lakini yanavutia flani hivi. Mm niliokota haya miaka kama name nyuma bush. Hayakuwa Dili hayo. Kama unataka pruv nenda MKURANGA-kijiji kimoja kinaitwa mkamba Kuna mlima inaitwa Zogoali. Yapo mengi sana hayaNdio madini gani hayo mkuu? Yana jina jengine?
Yah. Yanauzwaga kama madini ila kuanzia uzito wa taniYellowstone