wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
ulidhani ni waha wa kigoma kisa mama zao ni waha ?Dayamond na kiba watakuchapa makofi, shauri yako
Muonjeshepo papuchiNampenda Young Lunya 😢
Akiitaka nampaMuonjeshepo papuchi
Nampenda Young Lunya 😢
Chaliifrancisco njoo huku unagongewa. Hupo hupo tu chaka na mimbusii huku dem wako anagongwa.Akiitaka nampa
Atakuwa fala.JUX mzaramo ila usimuite maana ni ugomvi wa ngumi
Mondi na Kiba sasa !
Alikiba sio mtu wa kigomaDayamond na kiba watakuchapa makofi, shauri yako
Sio watu wa kigoma kweliHao kina mond na kiba wako watakuwa wakudownload..
Wakigoma haoSio watu wa kigoma kweli
Diamond mtu wa Kigoma sio Morogoro.Diamond - kabila lenye asili ya Morogoro anaelijua atujuze
Alikiba - Mhehe
Rayvanny - Mnyakyusa
Harmonize - Mmakonde
Niki Mbishi - Mkurya
Young Lunya - Mzaramo
Bilnas - Mchaga
mama zao ndio watu wa kigomaWakigoma hao