Haya ni makabila ya wasanii maarufu Tz 255

Haya ni makabila ya wasanii maarufu Tz 255

Yaani lengo lako la hii post ni Ali Kiba na Diamond kwamba utujuze sio watu wa kigoma.

Kumbuka hakuna sheria ya mtoto afuate kabila la nani kati ya baba na mama yote ni makabila yanayomhusu lile analojivunia kuwa lake ndo lake hilo usiwalazimishie makabila wasoyakubali ](yaso na mchango kwa maisha yao)

By the way kuna mila mtoto ni wa mama na anafuata kabila la mama tena wengine wameenda mbali sana hata ubini ni wa mama mfumo dume sio kwa wote jombii
 
Mwalimu Nyerere kama angesoma huu uzi unaojadili makabila ya watu,angesikitika sana.
 
Mbona kalapina,Dudu baya,Mchizi mox,KR mulla..... Hujaweka Kwa Orodha?
 
Back
Top Bottom