Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi


uchumi wa tz uko stable and tsh ndo pesa pekee afrika ilioenda head to head na usd mwaka huu bila kuterereka! swala la maskini ni kawaida na haiwezekani wote wakafanikiwa lazima kue na gapes ili maisha yaende smooth, serikali haishindwi kuchapisha noti kumpa kila mtu but kanuni za economics lazima kue na matabaka ndipo uchumi usogee
 
Nililo liona Mimi ni kwamba Magufuli katika uchaguzi wa 2015 akipata 52.3% wakati mpinzani wake chadema 47.2 %.Magufuri hawezi pata tena wala kufikisha % hizo mwaka huu. Mitaani na maeneo mengi yanaonyesha mwaka hawezi kufikisha hata 45%, hii ni kutokana na huku vijijini watu wengi wa na ccm wanaamini Magaufuri ameshashinda hivyo hakuna sababu ya kwenda kupiga kura na hiyo ndio itakuwa sababu mojawapo ya kushindwa kwake ccm
 
Watu wanafanya ustaarabu lakini wakichoka kuwa wastaarabu basi Nchi itawaka moto hakutakuwa na msalie mtume. Eti chama tawala obvious kitabebwa tu!!! Seriously!? 😳



Chama tawala obvious kitabebwa tu, bado hamjapata mwarobaini wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…