Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujipanga kwa CHADEMA kuanze na kuthibiti mdomo wa Lissu, mgombea wao wa Urais. Juzi tu kakaribishwa ACT Mzalendo, aliyoyasema huko, sipendi kuyarudia kwa kuwa ni upuuzi wa kisiasa.Tunashukuru na tunaheshimu maoni yako, ni kweli cdm wanaweza kuwa hawajajipanga vizuri, ila hukuhitaji kuweka sababu zote hizo, maana uchaguzi wa sasa hivi utafanyika kwa utashi na maamuzi ya madaraka ya Magufuli.
Subiri kadiri joto la uchaguzi linavyopanda, kama hujaona yale aliyoagiza kufanyika kwenye chaguzi zote za marudio na uchaguzi wa SM kujirudia. Naona unataka kutuaminisha huko ccm kuwa kuna mbinu sana, wakati maamuzi yote ya uchaguzi huu anayo Magufuli.
UnaotaHivi huyo magufuli takwimu gani zinambeba?
Hali ya kiuchumi Kwa wananchi ikoje? Kwa wakulima wa mbaaazi, korosho, tumbaku takwimu zikoje?
Suala la ajira kwa vijana kafanya nini? Ameua uwekezaji na sekta binafsi kaishia kufanya maelfu ya vijana kuwa jobless na watu kupoteza ajira
Ameua watu, kubambikia watu makesi, kuonea watu mpaka hata watoto wadigo wanajua
Ameharibu biashara kupelekea watu kufunga biashara zao na wengine kufirisiwa na mabenki?
Huyo magufuli kafanya ya nini zaidi ya haya? Njia ni nyeupe sana kwa Tundu Lissu mwaka huu.
Polee sana matagaUnaota
Jifunze kuandika vizuri.MTAZAMO Kwanza ongera kwa kupost Uzi Mara nyingi wewe sio mtu wa kupost.Ningependa jamiiforum iwe na watu kama wewe wanaoleta facts na unadeserve kuitwa great thinker umeleta hoja nzuri Cha ajabu mashabiki uchwara a.k.a small mind badala la kujibu hoja yako kwa hoja wao watajikita kukutukana zaidi
Ni mapema sana. Yani nakwambia ni mapema mno. Wakati nakuunga mkono kwenye mengi uliyoyaeleza kuhusu Lissu, ila nakuhakikishia, bila Polisi/Magereza, pamoja na Uhuru wa Tume yenyewe, Magufuli ni mweupe sana kwa Lissu.Wakuu,
1) What a match!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.
2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.
3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.
4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri
5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.
6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?
7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.
8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.
9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.
10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.
Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]
Wakuu,

Hii nakubaliana nayo kabisa asilimia mia mojaWapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.
Binafsi naona kama hata bajeti ya Uchaguzi hawakuitenga wakiamini watafanya kama serikali za mitaa.Nikwambie ukweli ktk uchaguz ambao ccm hawakujipanga ni huu, pia ktk uchaguz ambao chadema wamejipanga ni huu, ccm hawakujipanga kwasababu hawakutegemea kama upepo ungebadili iv, ukweli ni kwamba ccm walipanga sana kutumia vyombo vya dola kupata ushindi, na mbinu iliyokuwa inategemewa kwa asilimia zote ni hiyo, Ila lissu baada ya kuja Lissu upepo umebadilika hawaelewi wafanye nini, wanashindwa kujibu hoja zinazowahusu, wanakimbilia kumtetea msajili ovyo kabisa, kiukweli Lissu kawashika pabaya sana, had mmeanza kula maindi ya kuchoma bilakupenda
Chadema wanafeli Sana, wanafel mno.
Kwanza wamejitengenezea maadui kila kona, polisi, wanasiasa, media n.k
Naomba sana tuwasamehe wafuasi wa CHADEMA wa hili jukwaa maana wanadanganyika na nyomi kwenye mikutano ya mgombea wao wa Urais. Je, wanasikiliza na kutilia maanani anachokiongea?Maoni yako sahihi kabisa ila wahuni wa chadema wengi hawapendi ukweli kabisa.Great
Wakuu,
1) What a match [emoji119]!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.
2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.
3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.
4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri
5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.
6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?
7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.
8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.
9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.
10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.
Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]
MTAZAMO Kwanza ongera kwa kupost Uzi Mara nyingi wewe sio mtu wa kupost.Ningependa jamiiforum iwe na watu kama wewe wanaoleta facts na unadeserve kuitwa great thinker umeleta hoja nzuri Cha ajabu mashabiki uchwara a.k.a small mind badala la kujibu hoja yako kwa hoja wao watajikita kukutukana zaidi