Upepo gani mbona mimi naona wala amna chochote zaidi ya kupiga piga projo huku mitandaoniNikwambie ukweli ktk uchaguz ambao ccm hawakujipanga ni huu, pia ktk uchaguz ambao chadema wamejipanga ni huu, ccm hawakujipanga kwasababu hawakutegemea kama upepo ungebadili iv, ukweli ni kwamba ccm walipanga sana kutumia vyombo vya dola kupata ushindi, na mbinu iliyokuwa inategemewa kwa asilimia zote ni hiyo, Ila lissu baada ya kuja Lissu upepo umebadilika hawaelewi wafanye nini, wanashindwa kujibu hoja zinazowahusu, wanakimbilia kumtetea msajili ovyo kabisa, kiukweli Lissu kawashika pabaya sana, had mmeanza kula maindi ya kuchoma bilakupenda
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app