Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi

..mimi nadhani ujio wa EL CDM ulikuwa ni a blessing in disguise kwa Dr.Slaa.

..siamini kama Dr.Slaa ange-survive awamu hii akiwa CDM.

..lazima wasiojulikana wangemfanyia unyama kama aliofanyiwa TL.

cc MTAZAMO, Richard
Slaa Ni dhaifu kiboko ya jiwe ni lisu na Heche ndo wanaume waliobaki
 
Tunashukuru na tunaheshimu maoni yako, ni kweli cdm wanaweza kuwa hawajajipanga vizuri, ila hukuhitaji kuweka sababu zote hizo, maana uchaguzi wa sasa hivi utafanyika kwa utashi na maamuzi ya madaraka ya Magufuli.

Subiri kadiri joto la uchaguzi linavyopanda, kama hujaona yale aliyoagiza kufanyika kwenye chaguzi zote za marudio na uchaguzi wa SM kujirudia. Naona unataka kutuaminisha huko ccm kuwa kuna mbinu sana, wakati maamuzi yote ya uchaguzi huu anayo Magufuli.
Kujipanga kwa CHADEMA kuanze na kuthibiti mdomo wa Lissu, mgombea wao wa Urais. Juzi tu kakaribishwa ACT Mzalendo, aliyoyasema huko, sipendi kuyarudia kwa kuwa ni upuuzi wa kisiasa.

Pamoja na kujifanya yuko tayari kushirikiana, sikiliza kauli yake sasa.
 
Hivi huyo magufuli takwimu gani zinambeba?

Hali ya kiuchumi Kwa wananchi ikoje? Kwa wakulima wa mbaaazi, korosho, tumbaku takwimu zikoje?

Suala la ajira kwa vijana kafanya nini? Ameua uwekezaji na sekta binafsi kaishia kufanya maelfu ya vijana kuwa jobless na watu kupoteza ajira

Ameua watu, kubambikia watu makesi, kuonea watu mpaka hata watoto wadigo wanajua

Ameharibu biashara kupelekea watu kufunga biashara zao na wengine kufirisiwa na mabenki?

Huyo magufuli kafanya ya nini zaidi ya haya? Njia ni nyeupe sana kwa Tundu Lissu mwaka huu.
Unaota
 
MTAZAMO Kwanza ongera kwa kupost Uzi Mara nyingi wewe sio mtu wa kupost.Ningependa jamiiforum iwe na watu kama wewe wanaoleta facts na unadeserve kuitwa great thinker umeleta hoja nzuri Cha ajabu mashabiki uchwara a.k.a small mind badala la kujibu hoja yako kwa hoja wao watajikita kukutukana zaidi
Jifunze kuandika vizuri.
 
Wakuu,

1) What a match!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.

2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.

3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.

4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri

5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.

6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?

7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.

8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.

9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.

10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.

Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]
Ni mapema sana. Yani nakwambia ni mapema mno. Wakati nakuunga mkono kwenye mengi uliyoyaeleza kuhusu Lissu, ila nakuhakikishia, bila Polisi/Magereza, pamoja na Uhuru wa Tume yenyewe, Magufuli ni mweupe sana kwa Lissu.

Katika kuongea kwa maana ya kutoropoka hovyo na kujenga hoja, mimi binafsi naona kuna chance kubwa sana Mgombea wa CCM akafanya mistake kupitia ulimi wake. Lakini maneno kama 'Kwani nilipoomba kura niliahidi nitaleta Tetemeko, Nitapiga Shangazi yake, Nimejenga Hospitali hata Walevi wanalazwa humo... n.k.' endapo yakitumiwa vizuri kipropaganda yanaweza kumshusha Mgombea wa CCM.
All in all, BADO MAPEMA SANA
 
Wakuu,

1) What a match!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.

2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.

3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.

4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri

5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.

6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?

7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.

8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.

9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.

10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.

Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]

CCM upande wa kuiba kura safari hii wajipange zaidi. Maana kura za Lissu zitakuwa nyingi kuliko za Lowassa 2015. Na kuziiba itakuwa ngumu mno.

Ki-hoja, CCM hawana jipya. Wamesema kila kitu walichofanya kwa miaka 5 wakati wenzao wamefungiwa. Wakirudia watasema kununua ndege, kujenga fly over, kujenga SGR, na kujenga bwana la Umeme. Zaidi ya hapo watatumia hoja ya nguvu ya polisi na tume ya uchaguzi.

Kifedha ngoma draw. CCM safari hii hata kuchapisha pesa imeshindikana. Halafu waliokuwa wachangiaji wao wengi ama wako jela au wameondoka nchini. Hazina ni nayo hawana cha kuiba kule, na rafiki yao mkubwa China wamemkorofisha.

Kifedha, Chadema safari hii wako vizuri sana. Wana mzigo wa kutosha toka EU. Wana fungu jingine Zuri toka US. Na bado TL akiita watu kuchagia watagombania...

CCM walizowea kutumia dola, safari hii wajipange wenyewe. Polisi wakiingilia nchi itawaka moto maana idadi ya vijana waliomaliza vyuo hawana ajira ni karibia mara 10 ya idadi ya polisi wote nchini. Labda jeshi letu liingizwe barabarani kupambna na raia badala ya kuwalinda na maadui wa nje.

Pamoja na hiyo mipasuko isiyozuilika huko kwenye kura za maoni, hakina najiandaa kwa msiba mzito kulifika Taifa. CCM inaenda kupata kipigo na haitapona.

Mshahara wa dhambi...
 
Chadema wanafeli Sana, wanafel mno.
Kwanza wamejitengenezea maadui kila kona, polisi, wanasiasa, media n.k
 
Maoni yako sahihi kabisa ila wahuni wa chadema wengi hawapendi ukweli kabisa.Great
 
Nikwambie ukweli ktk uchaguz ambao ccm hawakujipanga ni huu, pia ktk uchaguz ambao chadema wamejipanga ni huu, ccm hawakujipanga kwasababu hawakutegemea kama upepo ungebadili iv, ukweli ni kwamba ccm walipanga sana kutumia vyombo vya dola kupata ushindi, na mbinu iliyokuwa inategemewa kwa asilimia zote ni hiyo, Ila lissu baada ya kuja Lissu upepo umebadilika hawaelewi wafanye nini, wanashindwa kujibu hoja zinazowahusu, wanakimbilia kumtetea msajili ovyo kabisa, kiukweli Lissu kawashika pabaya sana, had mmeanza kula maindi ya kuchoma bilakupenda
Binafsi naona kama hata bajeti ya Uchaguzi hawakuitenga wakiamini watafanya kama serikali za mitaa.
 
Naona mabadiliko makubwa kihoja kwa wagombea. Nafatilia hoja zao ili baada kampeni kadhaa niandike mambo 10 nyingine ...
 
Tusisahau pia, kule vijijini wanamfahamu JPM tu. Hawa wengine hawajulikani hata kidogo.
Uchaguzi uliopita 2015, kule vijijini ilikuwa CCM akipata Kura 312 CDM anaambulia Kura 23 nk.
 
Chadema wanafeli Sana, wanafel mno.
Kwanza wamejitengenezea maadui kila kona, polisi, wanasiasa, media n.k
Maoni yako sahihi kabisa ila wahuni wa chadema wengi hawapendi ukweli kabisa.Great
Naomba sana tuwasamehe wafuasi wa CHADEMA wa hili jukwaa maana wanadanganyika na nyomi kwenye mikutano ya mgombea wao wa Urais. Je, wanasikiliza na kutilia maanani anachokiongea?

Kama hawajui basi ni wakuwakumbushe tu kuwa agenda/sera kuu za huyo mgombea ni:
1) Kumdharirisha Magufuli, akiamini kwa kufanya hivyo atakuwa amemchafua mbele ya jamii.
2) Anatoa ahadi hewa zenye kufitinisha Serikaili iliyoko madarakani na wananchi km Jukumu la Taasisi za Serikali kama vile TRA na Majeshi kuwa zinatumika kuwadhulumu.
3) Hazungumzii jinsi gani atapata fedha za kuendesha Serikali, huduma za jamii na miradi ya maendeleo iwapo hana mipango thabiti ya kukusanya kodi.
4) Anaamini ni kufungamana na mataifa ya nje ndiyo mwarobaini wa maendeleo ya nchi na siyo kuimarisha juhudi za kujitegemea.

Kwa taarifa tu "mwenye macho haambiwi tazama" aina ya watu wa nyomi ya mgombea wao wa Urais.
 
Hivi kwanini ufipa mnakuwa na makasiriko mnoo mkiambiwa ukweli na hapa mmepewa mbinu bado mnamshambulia mtoa mada?
 
Wakuu,

1) What a match [emoji119]!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.

2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.

3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.

4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri

5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.

6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?

7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.

8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.

9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.

10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.

Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]

tatizo ni moja tu, wale wanawake wa praise and worship ya mbowe badala wachukue key points wataona kama ni mwana ccm,
 
MTAZAMO Kwanza ongera kwa kupost Uzi Mara nyingi wewe sio mtu wa kupost.Ningependa jamiiforum iwe na watu kama wewe wanaoleta facts na unadeserve kuitwa great thinker umeleta hoja nzuri Cha ajabu mashabiki uchwara a.k.a small mind badala la kujibu hoja yako kwa hoja wao watajikita kukutukana zaidi

hawaitwi small minds wanaitwa women praise and worship ya cdm
 
Back
Top Bottom