Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Habari mjasiriamali,
Jana nilipost kuhusu beneficial ownership, nikasema kila mmiliki wa Kampuni ni lazima awasilishe taarifa za wanufaika wa Kampuni (Beneficial owners) ndani ya siku 30 baada ya kukamilisha usajili wa Kampuni.
Moja ya swali nililoulizwa ni
"Kwani nisipo file hio beneficial ownership Nini kitatokea"?
Haya ni mambo Matatu ambayo yatatokea kama utashindwa ku file BO ndani ya muda;
1. Penalties
Inapofika siku ya 31 baada ya kukamilisha usajili bila ku file BO utapigwa penalty ya Tsh 2500.
Hii penalty ni accrued interest penalty, hii pesa inajiongeza kwa Kiwango hicho hicho kila Mwezi.
Jinsi unavyochelewa ndio jinsi unavyo pigwa penalty kubwa zaidi.
2. Kuzuiwa kufanya marekebisho
Unapotaka kufanya marekebisho yoyote kwenye Kampuni kama kuongeza shareholders, kubadili directors, mtaji, secretaries etc utazuiliwa mpaka utakapo file BO
3. Itaku cost muda
Sababu kama unataka kufanya application ya kubadili director, mpaka ufanye kwanza ya BO, inachukua muda mrefu sana.
I hope this helps you.
By the way, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili Kampuni na biashara zao.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu Beneficial ownership unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite lawyer.