Haya Ni Maneno Mbofu Mbofu

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,741
Ipi ni sababu ya msingi iliyofanya wazazi wetu watudanganye kua eti uume unaitwa DUDU na uke unaitwa KIDONDA? kwanini wasingetuambia tu majina yake halisi, nakumbuka wakati nipo darasa la pili nilikaambia kadem flani..Aminaa naomba KIDONDA chako..
 
Sasa kama wazazi wako walikudanganya hivyo unadhani na wazazi wa wenzio nao ni waongowaongo kama wazazi wako?
 
Ipi ni sababu ya msingi iliyofanya wazazi wetu watudanganye kua eti uume unaitwa DUDU na uke unaitwa KIDONDA? kwanini wasingetuambia tu majina yake halisi, nakumbuka wakati nipo darasa la pili nilikaambia kadem flani..Aminaa naomba KIDONDA chako..
Mi kwetu nilikuwa najua kabisa kwamba ile ni Mbunye na wangu ni mkuyenge .
Hivyo kadri nilivyokuwa nakuwa nilikuwa najifunza mambo mengine yenye faida .
 
Wazazi wa wazazi wako walikua hawana elimu ya sayansi ya jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…