bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
Ipi ni sababu ya msingi iliyofanya wazazi wetu watudanganye kua eti uume unaitwa DUDU na uke unaitwa KIDONDA? kwanini wasingetuambia tu majina yake halisi, nakumbuka wakati nipo darasa la pili nilikaambia kadem flani..Aminaa naomba KIDONDA chako..