Haya ni maneno yaliyomfanya Mwl. Nyerere kuchukua hatua bila kusita

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Mgiriki = Serikali ya Tanzania na viongozi wake nimewatia mfukoni!===== Nyerere hakuwa na mjadala juu ya hilo kwani alimtia ndani mtu huyo bila kujali yeye ni nani na hatimaye kumfukuza nchini.

IDD AMINI= Nyerere ni mtu mdogo sana ambaye hawezi kunifanya nikose usingizi!! Sana sana nitamsikiliza kwa sauti yake ambayo haina tofauti na sauti ya mke wangu. ===== Nyerere alichomfanyia hadi leo imebaki simulizi kwa dunia nzima.

LEO HII KAGAME ANASEMA:
Namsubiri aiingie kwenye anga zangu nimshikishe adabu huyu anayeongea ujinga! yaani Rais wetu KIKWETE!!!!

According to our history. This was the right time to show Mr. Kagame that our president he is not a foolish, but is a giant. It was the right time to destroy him.

Huu ndio msimamo wangu kwa hili.
 
Nyerere kwenye Simulizi za huyo Mgiriki anakiri alikataa shinikizo la kumuachia kutoka kwa Kenyata lakini alikuachia kwa Shinikizo la Baba Askof Makarious kwa sharti asionekane East Africa kwa hiyo haikujulikana aliwahonga kina Nani ili wachukuliwe hatua!
 
Mgiriki = Serikali ya Tanzania na viongozi wake nimewatia mfukoni!===== Nyerere hakuwa na mjadala juu ya hilo kwani alimtia ndani mtu huyo bila kujali yeye ni nani na hatimaye kumfukuza nchini.

IDD AMINI= Nyerere ni mtu mdogo sana ambaye hawezi kunifanya nikose usingizi!! Sana sana nitamsikiliza kwa sauti yake ambayo haina tofauti na sauti ya mke wangu. ===== Nyerere alichomfanyia hadi leo imebaki simulizi kwa dunia nzima.
Lord Rajpar...
 
Alichofanya kuwafukuza wahamiaji haramu inatosha.
Mkoa wa Kagera autaki vita tena
 
Heheehee dunia ya leo imebadilika sana mkuu,Obama kafungwa spidi gavana na Putin juu ya Syria
Mkuu YN unajua Obama ni mjanja sana, tangu mwanzo hakuwa na appetite ya kuishambulia Syria unlike Hawkish J.Kerry na ma Neo Con wenzake wapenda vita kupindukia, ndio maana hata hotuba za J.Kerry na Obama zilikuwa zinatofautiani kidogo. Obama alikuwa na uwezo wa kuishambulia Syria bila ya kuomba kibali cha bunge kama walivyo wahi kufanya ma Rais walio mtangulia, sasa kwa nini OBAMA aliona kuna umuhimu wa kuomba kibali kutoka kwenye Bunge lao wakati alijua fika lisingempa kibali cha kuishambulia Syria, jibu ni kwamba OBAMA alikuwa anatafuta mbinu za ku-disarm Assad silaha za kemikali diplomatically, hakutaka kuipiga mabomu ambayo yangesababisha vifyo vingi kwa raia wasio na hatia vile vile Syria ingerudishwa back to stone age era, Obama hakutaka Merikani injiongezee waadui/terrorists wasio wa lazima kutokana na mashambulizi yao nchini Syria, vile vile Obama ilijua Merikani itakuwa safer Asaad akiendelea kubaki madarakani kuliko kuhunga mkono multiple factions nchini Syria ambazo misimamo yao hailekeweki vizuri.
 
Mgiriki = Serikali ya Tanzania na viongozi wake nimewatia mfukoni!===== Nyerere hakuwa na mjadala juu ya hilo kwani alimtia ndani mtu huyo bila kujali yeye ni nani na hatimaye kumfukuza nchini.

IDD AMINI= Nyerere ni mtu mdogo sana ambaye hawezi kunifanya nikose usingizi!! Sana sana nitamsikiliza kwa sauti yake ambayo haina tofauti na sauti ya mke wangu. ===== Nyerere alichomfanyia hadi leo imebaki simulizi kwa dunia nzima.

LEO HII KAGAME ANASEMA:
Namsubiri aiingie kwenye anga zangu nimshikishe adabu huyu anayeongea ujinga! yaani Rais wetu KIKWETE!!!!

According to our history. This was the right time to show Mr. Kagame that our president he is not a foolish, but is a giant. It was the right time to destroy him.

Huu ndio msimamo wangu kwa hili.

mwanzo wa ngoma ni lele.
 
Mkuu Bukyanagandi ingekuwa soka tacktics za Mr Obama unaweza kuzifananisha na imposible angle za David Bekham,jamaa anafikiria kile ambacho wngine hawawazi! Ni wazi kwa successful missions alizofanya US na kufanikiwa hatua aliyoifanya kuomba kibali cha bunge ilikuwa kum-ogofya Assad aachie silaha bila kulazimika kutumia nguvu za kijeshi.
 
Last edited by a moderator:

Simwachii ng'o!
 
Spot on, mkuu Horseshoe Arc.
 
Last edited by a moderator:
Heheehee dunia ya leo imebadilika sana mkuu,

Obama kafungwa spidi gavana na Putin juu ya Syria

Wakati nashukuru hii thread sijaleta mimi kwani mods wangefume haraka na kupiga chini huku wakinipa ban...pengine nichangie tuu hili,huku nacheka ya JK ambaye sasa anakubai ya mtikila kuhusu kagame, ila mtikila kuhsu JK mwenyewe tunashuhudia kwa vitendo......

-Issue ya Obama na Putin..waslihskubaliaan akam mwakam mmoja uliopita, nadhani urusi akamwambia US subiri kwanza auze silaha za dola billion+, wachukue hizo hela kwa kumuachia muarabu hela ni kukaribisha manunuzi mabaya ya viagra, kufadhili michezo waipendayo ya kigaidi, na kutupia makombora kwa israeli wakati wakitafuna tendo .....baadae ysria kadhani kuwa mrusi ni rafiki na sasa yupo tayari kunyoosha msulu..US akaambiwa amownyeshe stick kwanza halfu russia amwonye carrot, US akionyesha msuli waasi watapata imani kuwa US alikuwa na nia na kwa vile atawapa silaha basi wataamini Russia ni mbaya,Na Asaad ataamini Russia kamuokoa..Ila wote hawataki kundi lingine lichukue nchi la Alqaeda na muslim Brotherhood wanaotembea mataifa kutokea misri,na kwingine....ila pi hawakutaka Assad ajue kuwa kilichomponya ni hicho..asijeanza wapatia silaha ili kublack mail.

Russia mwenyewe anamchukia Bush kwani Bush alisema anaweka missile shields, wkalia kuwa US kawatapeli,Obama kajifnya kilaza, akawaambia ataweka ya grade ya chini na baada ya tishio la Iran wana downgrade......sijui ...Zille missile shield zinafanya kazi na Russia anjua kuwa ndio kiburi yake imeisha.Katisha mchi kibao zikiweka anawapiga nuclear kabla hawajamaliza funga.Ila wapi....
 
Kwani hata yupo? Chezea fastjet wewe! Bado yuko ktk harakati za kuizunguka dunia!
 
Mkuu YN unajua Obama ni mjanja sana, tangu mwanzo hakuwa na appetite ya kuishambulia Syria unlike Hawkish J.Kerry na ma Neo Con wenzake wapenda vita kupindukia, ndio maana hata hotuba za J.Kerry na Obama zilikuwa zinatofautiani kidogo. Obama alikuwa na uwezo wa kuishambulia Syria bila ya kuomba kibali cha bunge kama walivyo wahi kufanya ma Rais walio mtangulia, sasa kwa nini OBAMA aliona kuna umuhimu wa kuomba kibali kutoka kwenye Bunge lao wakati alijua fika lisingempa kibali cha kuishambulia Syria, jibu ni kwamba OBAMA alikuwa anatafuta mbinu za ku-disarm Assad silaha za kemikali diplomatically, hakutaka kuipiga mabomu ambayo yangesababisha vifyo vingi kwa raia wasio na hatia vile vile Syria ingerudishwa back to stone age era, Obama hakutaka Merikani injiongezee waadui/terrorists wasio wa lazima kutokana na mashambulizi yao nchini Syria, vile vile Obama ilijua Merikani itakuwa safer Asaad akiendelea kubaki madarakani kuliko kuhunga mkono multiple factions nchini Syria ambazo misimamo yao hailekeweki vizuri.
Brilliant and valid observation!
 
Hiyo ndo maana ya diplomacy hiyo mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu Bukyanagandi ingekuwa soka tacktics za Mr Obama unaweza kuzifananisha na imposible angle za David Bekham,jamaa anafikiria kile ambacho wngine hawawazi! Ni wazi kwa successful missions alizofanya US na kufanikiwa hatua aliyoifanya kuomba kibali cha bunge ilikuwa kum-ogofya Assad aachie silaha bila kulazimika kutumia nguvu za kijeshi.
I concur with you

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mgiriki = Serikali ya Tanzania na viongozi wake nimewatia mfukoni!===== Nyerere hakuwa na mjadala juu ya hilo kwani alimtia ndani mtu huyo bila kujali yeye ni nani na hatimaye kumfukuza nchini.

IDD AMINI= Nyerere ni mtu mdogo sana ambaye hawezi kunifanya nikose usingizi!! Sana sana nitamsikiliza kwa sauti yake ambayo haina tofauti na sauti ya mke wangu. ===== Nyerere alichomfanyia hadi leo imebaki simulizi kwa dunia nzima.

LEO HII KAGAME ANASEMA:
Namsubiri aiingie kwenye anga zangu nimshikishe adabu huyu anayeongea ujinga! yaani Rais wetu KIKWETE!!!!

According to our history. This was the right time to show Mr. Kagame that our president he is not a foolish, but is a giant. It was the right time to destroy him.

Huu ndio msimamo wangu kwa hili.

VITA ya uganda ilikuwa ni kumtetea kibaraka wake obote kwa kuwa walikuwa na ajenda yao ya siri ilitoka vatcan ndio maana swala la yule mgiriki hakumsikiliza yoyote isipokuwa baba askofu chezea mfumo.
 
Heheehee dunia ya leo imebadilika sana mkuu,

Obama kafungwa spidi gavana na Putin juu ya Syria

Yericko nakuhakikishia Syria atapigwa tu,U.S alichokifanya ni kumpa opportunity Assadi kama ana akili aachie uongozi aende Russia lakini akiendelea kuwepo lazima atapigwa hata akisalimisha silaha!!!!
 
Back
Top Bottom