Yericko nakuhakikishia Syria atapigwa tu,U.S alichokifanya ni kumpa opportunity Assadi kama ana akili aachie uongozi aende Russia lakini akiendelea kuwepo lazima atapigwa hata akisalimisha silaha!!!!
nakubaliana na ww mkuu.hata iraq waliruhusu wakaguzi wa silaha za maangamizi toka UN waikague na hawakukuta silaha yoyote!lakini pamoja uthibitisho ule bado iraq ilichezea kichapo.nakumbuka pres. bush jr alikiri waziwazi kuwa uvamizi ule ulilenga pia kumuondoa kabisa duniani saddam kwa sababu alikuwa ni tishio kwa sera na maslahi ya US.so kwa syria sitashangaa ikitokea but lets wait and see.