Haya ni manukato/perfume gani?

Sikushauri[emoji23] kanauzwa buku au buku 2 sasa kana harufu kali sana .. Ndio ilikuwa manukato maarufy miaka ya 90 View attachment 2759406

Sent using Jamii Forums mobile app
Buku tena??!! Nakumbuka miaka ya 80s mwishoni na early 90 palikuwa na YOU For Men. Ilikuwa kwenye mkebe mwekundu. Enzi zile ukipaka hiyo unaonekana wa kisasa sana!! Nimeona kwenye ile list uliyonipa kuna perfume ya YOU. Ni marashi yaleyale au tofauti?
 
You niliyokupa ni tofauti na ile ya mkebe ya miaka hiyo.. Sasa YU ina kiwango kuliko gift

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni Stronger With You kutoka kampuni ya Emporio Armani...
 

Versace watumiaji wanaijua hii
 
Sasa hiyo perfume au kuumizana vichwa?

Perfume inatakiwa muda mchache iondoke isiwepo kabisa. Kuna watu wana mzio na harufu za perfume, pia perfume ikiwepo kwa muda mrefu inakuwa karaha.
 
Ni hivi unaweza tajiwa brand flan ya perfume ila ukaenda dukani ukauziwa copy.

Na sahiv Kkoo ndio zimejaa copy.. wengi wananunua copy.

Ukiona perfume imetengenezwa na FRAGRANCE WORLD hiyo ni copy. Na ndio wameyajaza pale Kkoo.

Ushauri wangu nenda Mliman City or City Mall kuna perfume nzuri sana.. bei inategemea umeendaje endaje.

Pia jitahidi kuchanganya manukato (Mixing) ili uondoe hali ya mfanano au mlingano.

Watz wengi ni wafata upepo kila mtu Sauvage or creed.. etc mtu anapita mbele yao unajua kabisa huyu kapulizia perfume flani.. au unapishana na mtu unaskia ile perfume yako mie sipendi hiyo.. just create your own signature...
 
Mleta mada kwanini unataka upate manukato ya kunukia wiki nzima kwani wewe nguo unarudia rudia?

Kama pafyum inakaa 12hrs inatosha unless uwe unavaa nguo zaidi ya mara moja bila kufuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…