Haya ni maoni yangu kama mpenzi wa Simba: Ahmed Ally hatufai, anaichomesha timu

Wewe ni Mnara uliyejificha kwenye keyboard,,,tena tulia sindano ikuingie,,
wacha kufitinisha semaji la CAF na mashabiki wa simba.
 
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.

Hana bahati na Simba.
Kwahiyo tatizo siyo mangungu tena?Acha hizo Bali fanyeni utafiti na siyo kumtafuta mchawi Kisha kumwa gushia jumba bovu.
 
Sijawahi kukutana na maoni ya hovyo kama haya.Mwanzo nilidhani Ally ni kinara akifuatiwa na Haji ila hapa wewe umewafunika.
 
Nimekimbilia kusoma nikajua Una hoja ya msingi kumbe ushirikina..pathetic
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Yule bwanamdogo anavyojua kuwafurahisha mashabiki pamoja na timu lenu kua bovu bado anawapa matumaini.

Msimu huu kawaaminisha kua wao hawahangaiki na ubingwa wowote bali wanajenga timu ndio maana wanasajili vijana wadogo.
Baaasi akawa kamaliza, msimu huu hata Kolo asipokuwepo top 4, semaji la caf limeshawapumbaza mashabiki kua wanajenga timu..

Ati wananchi walijenga timu miaka 4 wakati wao wananyanyua kwapa, kwahivyo na wao sasa wapo katika kipindi hiko.
 
Ndiyo maana nasema asepe.
 
Mimi namlaumu Kama msemaji kuongelea maswala ya kiufundi ambayo hayamhusu.
Sijui Kama Simba wakati wanamwajili walimpa mwongozo wa kazi yake
 
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.

Hana bahati na Simba.
Acha upumbavu. Huwezi kuwa shabiki mstaarabu, nenda kabet.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Usicho kiona usiami labda Mungu,🎶🎶
Unacho sikia ndio kabisaa yaweza kua Majungu,🎶🎶
MJINGA NDIO ANAAMINI KUNA GUNDU.🎶🎶
 
Huyu jamaa mlipoteana kabaki pekee yake na roho yake ya mbux3 sasa hivinshangilia

Anguko lenu hilo hapo
 
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.

Hana bahati na Simba.
Nilidhani wewe ni mtu wa maana kumbe hovyo kabisa

Role yake ni ipi hadi aathiri timu?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.

Hana bahati na Simba.
Bado hujasema ,yani mpaka useme 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom