Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kwahiyo tatizo siyo mangungu tena?Acha hizo Bali fanyeni utafiti na siyo kumtafuta mchawi Kisha kumwa gushia jumba bovu.Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.
Mdomo wake unatuponza.Anacheza kama nani uwanjani?
Mangungu hana shidaKwahiyo tatizo siyo mangungu tena?Acha hizo Bali fanyeni utafiti na siyo kumtafuta mchawi Kisha kumwa gushia jumba bovu.
Ndiyo maana nasema asepe.Yule bwanamdogo anavyojua kuwafurahisha mashabiki pamoja na timu lenu kua bovu bado anawapa matumaini.
Msimu huu kawaaminisha kua wao hawahangaiki na ubingwa wowote bali wanajenga timu ndio maana wanasajili vijana wadogo.
Baaasi akawa kamaliza, msimu huu hata Kolo asipokuwepo top 4, semaji la caf limeshawapumbaza mashabiki kua wanajenga timu..
Ati wananchi walijenga timu miaka 4 wakati wao wananyanyua kwapa, kwahivyo na wao sasa wapo katika kipindi hiko.
Acha upumbavu. Huwezi kuwa shabiki mstaarabu, nenda kabet.Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.
Nilidhani wewe ni mtu wa maana kumbe hovyo kabisaNimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.
Bado hujasema ,yani mpaka useme 🤣🤣🤣🤣🤣Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba ilicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.