Haya ni mapenzi au huruma?

Haya ni mapenzi au huruma?

natu
Personally I do think unampenda. The only reason you are conficted is you never imagined yourself na mtu kama yeye. Ila kwa kuwa now your feelings have seen beyond his physical imperfections you are second guessing yourself , thinking watu watasemaje!?

helooo
 
Kwa maelezo yako Natu hapo kwisha habari yako...maana 'unajisikia vibaya asipokupigia kukutakia goodnite'....inahusiana vipi na 'makengeza'? Pia. Asipokupgia siku nzima unasema havieleweki.....makengeza yanaongea? lol

hapo, ukishapenda. "chongo utaita kengeza"

kama alivosema kongosho, nenda na beat, ila hapo nina shaka kama utaweza kujizuia. Una sababu ya kufanya hivyo?
 
Imagine!

JF is never boring lol (Source TB)

Mi mwenyewe nashangaa hapa tu...hahaha

umeonaa ehhh?
yaani wana dakika tu lakini wako full equipped ,full ma avatar ya kugusa watu
na wako so familiar ...lol
 
Tayari kwishapenda weye ila msimamo wako wako uliokuanao ndo unakubania na umeshindwa kuamini kama umenasa.
 
hahaha sijaona mfano Prishaz akibisha hodi, sijui kaingilia mlango upi?? Avatar yake umeiona lakn?

inawezekana kuna a mission tayari lol
labda ni 'mission to nail Kaizer' lol
subiri tu utaona...lol na wewe umesha guswa na avatar lol
 
mmh! Soma kwanza upate hako ka degree. Usije jutia uamuzi wako
 
Weeeeeeeeeeeeee! Kuna mdada aliwahi kuniambia eti hao jamaa 'vichupa vyao vinajaa' kinoma, akikumwagia zitachuruzika kunao mbunye si chini ya siku tatu tangu zlipomwagiwa humo ndani. Itabidi utembee na pedi kukwepa aibu ya kulowa.
 
hahaha sijaona mfano Prishaz akibisha hodi, sijui kaingilia mlango upi?? Avatar yake umeiona lakn?

Kaizer nini lakini jamani? au na wewe umeanza kunihurumia? haya nabisha hodi kwako nipokee basi
 
inawezekana kuna a mission tayari lol
labda ni 'mission to nail Kaizer' lol
subiri tu utaona...lol na wewe umesha guswa na avatar lol

Boss ni nini lakini, mie mgeni kabisa humu sema ni mwepesi wa kucope
 
Kaizer nini lakini jamani? au na wewe umeanza kunihurumia? haya nabisha hodi kwako nipokee basi

aisee....unafahamu PM ni wapi? hebu do ze nidiful. asante. (did I say goodnite wadau? LOL)
 
Mmmmh, nini hii. Sijaelewa kabisa. Ninong'oneze basi

Back
Top Bottom