Haya ni mapenzi au huruma?

Sista ina maana hukuwa na mtu uliyemwacha huku bongo? Ama tamaa mbaya zimekushika? Kama unamtosa huyu jamaa ako wa home jua kwamba huyo anae wake huko cjui botswana ama lesotho. Atakutelekeza tu. Kweli mitoto ya kike hopeless.
 
nionee huruma mm mtz mwenzako nami nipo nje wewe niambie tuu upo nchi gani kama ni bara la ulaya mm ntafunga safari
 
Penzi na pendo haviangalii una kengeza au una pengo, una chongo ukipenda umependa tu!
 
Weeeeeeeeeeeeee! Kuna mdada aliwahi kuniambia eti hao jamaa 'vichupa vyao vinajaa' kinoma, akikumwagia zitachuruzika kunao mbunye si chini ya siku tatu tangu zlipomwagiwa humo ndani. Itabidi utembee na pedi kukwepa aibu ya kulowa.

duh mkuu hii sikuwahi kuisikia
 
Kula kitu roha inapenda, waswahili husema ukipenda chongo huita kengeza, na ukipenda kengeza (macho kumchuzi) valisha mawani.lol!

haaaah haaah haaah teh teh teh mkuu wanivunja mbavu haah haah hah
 
sasa wewe kama wewe umeshaona uzuri wa kengeza sasa hapo tutashauri nini ... ila kuwa makini jamaa mzuka ukipanda anaweza kuzungusha macho kama anakata roho ... usijekimbia wala kupiga makelele kuepuka hilo fumba macho muda wote hahahaha
 
kwanii makengezaa sio mtu!!aaaaghhhhhhh.we usha fall inlove .je unampendea mtu niniii weweee? kipato....mvuto...au moyo wake na care zake kwako?fataa moyo wako unavyo kutumaa
 
Fanya unachoona Moyo wako unakubali. Kwani huyo ni muoaji au kupitisha muda tu? MUNGU hapendi.
 
Fanya unachoona Moyo wako unakubali. Kwani huyo ni muoaji au kupitisha muda tu? MUNGU hapendi.
 
Sista ina maana hukuwa na mtu uliyemwacha huku bongo? Ama tamaa mbaya zimekushika? Kama unamtosa huyu jamaa ako wa home jua kwamba huyo anae wake huko cjui botswana ama lesotho. Atakutelekeza tu. Kweli mitoto ya kike hopeless.

Umemshauri vizuri sana ila sentensi yako ya mwisho imenikera.Why mitioto ya kike hopeless?
 

Follow your heart! Mengine ni majaaliwa!
 
Usikubali kupoteza dhamira yako. Soma acha ujinga. Tatizo mitoto ya kike ndo maana walikuwa hawaisomeshi hapo awali. Mtoto kike chuoni anatakiwa aondoke na degree mbili; moja academic na mb.o.o

duh nadhani wenzetu wanaume hutoka na degree zaidi ya moja, academic, sex, cheating, artificial life style, .... just to mention a few.
 
Kwa mamlaka niliyojipa mweyewe I pronounce you mtu na mpenzi wake!..you may kiss!
 
Mpwa Kaizer nasafiri nje ya nchi nikaonewe huruma aisee:A S embarassed::A S embarassed:
 
Halafu makengeza kwenye kitanda....yanageuka

'bedroom eyes' lol

ni kweli kabisa, makengeza hugeuka na kuwa sawa then baada ya shughuli hurudi vilevile. Kuna bubu aliwahi kusema mamaaaaa......
 

huyu keshapenda...reasons

1. Keshaaanza kuhisi kuwa msouth anamcare, na ndio maana kama hajayaona makengeza au hajampigia simu, basi akili yake haikai sawa
2.Mtu husononoka pale tu kinapotokea kitu ambacho ni kizuri kwake kinaenda ovyo, au kina matatizo

So....., nenda kajiburidishe na msouth, ili uondoe hizo hali mbili hapo juu, ingawa kuna zingine ziko moyoni na hujazitaja.

Nawakilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…