Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watengezaji wa hii kitu wanapatikana wapi? Nitafutie mawasiliano yao tafadhaliView attachment 569748View attachment 569750View attachment 569751
Tunazidi kupiga hatua katika kuboresha viwanda vya ndani
[HASHTAG]#vyerehani4[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely amazingView attachment 569748View attachment 569750View attachment 569751
Tunazidi kupiga hatua katika kuboresha viwanda vya ndani
[HASHTAG]#vyerehani4[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely.Watu wanao fanya dhihaka hapa,kama hayo maneno yangeandikwa kwa ki ingilishi au kifaransa hapo ungekuta watu wanasema. Amazing , Love it, mwaaah na mengine mengi. Kama hatukitaki kiswahili tukifute
Hakika mkuu,ila ni ubunifu wa aina yake huu.Huyu mdau angeweza kupata mtaji wa kutosha nahisi soko la marekanina ulaya tungeliteka mkuuWatu wanao fanya dhihaka hapa,kama hayo maneno yangeandikwa kwa ki ingilishi au kifaransa hapo ungekuta watu wanasema. Amazing , Love it, mwaaah na mengine mengi. Kama hatukitaki kiswahili tukifute
Poa poa mkuu maana na mimi niko kwenye process za kutafuta mawasiliano yaoMkuu watengezaji wa hii kitu wanapatikana wapi? Nitafutie mawasiliano yao tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo katoka veta kupewa cheti cha kurasimisha ujuzi wakeInnovations mkuu
Hahaha mkuu uko vzr mambo ya faraghaLakin pia shanga zikiwa kwenye mwili zinafinyaga kwakua ziko charged na hivyo kumshtua mvaaji. Sasa sijui zikiwa nyingi hivi inakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu umewaza mbaliTuseme ukweli ni art work nzuri sana hii. Ila tuu mkanda ni mpaka sana labda hayo maneno yake kwa nyuma s kwa mbele yatasumbua kubaki faragha
Sent using Jamii Forums mobile app