HAYA NI MAPINDUZI MAKUBWA KABISA YA KIVIWANDA TANZANIA.

Niitie hawa watu jamani Ushimeni,muosha rungu,harufu,rubii,aggyjay,bacyclerbacy,eclat n.k waje kutupatia mbinu ya kuongeza mvuto wa bidhaa hizi
 
Mambo ya viwanda yanazidi kuwa matamu Bichwa ajulishwe aje kuzindua
 
Watu wanao fanya dhihaka hapa,kama hayo maneno yangeandikwa kwa ki ingilishi au kifaransa hapo ungekuta watu wanasema. Amazing , Love it, mwaaah na mengine mengi. Kama hatukitaki kiswahili tukifute
 
Watu wanao fanya dhihaka hapa,kama hayo maneno yangeandikwa kwa ki ingilishi au kifaransa hapo ungekuta watu wanasema. Amazing , Love it, mwaaah na mengine mengi. Kama hatukitaki kiswahili tukifute
Hakika mkuu,ila ni ubunifu wa aina yake huu.Huyu mdau angeweza kupata mtaji wa kutosha nahisi soko la marekanina ulaya tungeliteka mkuu
 
Tuseme ukweli ni art work nzuri sana hii. Ila tuu mkanda ni mpaka sana labda hayo maneno yake kwa nyuma s kwa mbele yatasumbua kubaki faragha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin pia shanga zikiwa kwenye mwili zinafinyaga kwakua ziko charged na hivyo kumshtua mvaaji. Sasa sijui zikiwa nyingi hivi inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…