Haya ni mawe gani, na yana thamani yoyote?

Haya ni mawe gani, na yana thamani yoyote?

Swahili Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
204
Reaction score
245
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa majina ya haya mawe lakini pia naomba kujuzwa kama yana thamani yoyote endapo nitayauza.
Soko lake ama wanunuzi wake wanapatikana wapi kama yanauzika!
Naomba msaada wenu wadau..
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 

Attachments

  • 20180320_165847.jpg
    20180320_165847.jpg
    88.9 KB · Views: 40
  • 20180320_165840.jpg
    20180320_165840.jpg
    89.9 KB · Views: 33
Mkuu unasafirisha makinikia? Utafungwa Mkuu!
 
Back
Top Bottom