Haya ni mawe gani?

Oya..madini hayo..washa Moto mkaali au Moto WA gesi Kisha aanza kuyachoma...huo unga unga unapukutija kama kutu ya chuma Kisha inabaki jiwe lenyewe sasa ambalo ndio.mali halisi...NI pesa hiyo...
 
Peleka sample yake KWA wataalmu wa madini,humu watakupoteza....kama kitu haukinui kupigwa ni sekunde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…