Haya ni mazoezi tu nyomi yakutosha,naiona record ya Congo ikivunjwa

Ndugu zangu jiandaeni tu kisaikologia,maana mnaweza bebeshwa lumbesa la magoli
Ukiona wao wanarusha, Crip za zamani kuwatisha wageni wao, jua nao wameogopa, unadhani wangekua wanacheza na Yanga wengefanya hayo. Ila wanajua Simba pamoja na kufungwa na AC Vita siyo timu ya kubeza.

Kwa hiyo ndugu zetu wapenzi wa yanga tulieni, mmalizane na Kakolanya kwanza, wanaumme ndoko nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga tuliwagonga hao Taifa na nyie vunja nahisi,kama hamtapewa gunia la magoli home and away,nitakuwa na zawadi yako nitakupa
 
Wewe ni shabiki maandazi, zungumzia mechi yenu ya ligi inayofuata Simba achana nayo hili ni chama kubwa.
Sawa shabiki mkata,maana unatereza Kwenye chai.......utaelewa baadaye
Sisi hatuchezi Taifa tunacheza Misri, ikifika zamu ya kucheza Taifa tutaiingelea Tunaangalia mechi iliopo mbele yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule mmemsindikiza kichuya tu hamna jipya lolote mnaweza litegemea mkuu
 
Sawa shabiki mkata,maana unatereza Kwenye chai.......utaelewa baadaye

Kule mmemsindikiza kichuya tu hamna jipya lolote mnaweza litegemea mkuu
Basi kama hivyo wanarejea leo, Tatizo watu wa Yanga mnapandikizwa ujinga Zahera wenu, yule kufungwa ni sehemu mchezo, sasa Zaherara mkifungwa analia.
Dah samahani, nilikua nakosea jina la Zahera, nilikua naandika Zuhura, imebidi niediti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saiz huwezi kuelewa,utaelewa pale alexandria
Tulipokua tunasema kuna siku, kila mtu ataishabikia Simba, Wakati ndiyo huu, kuanzia Viongozi wa Yanga, kocha na Mashabiki wote, hakuna anaeiwaza Yanga tena ispokua Simba tu, Zahera hawezi ongea hasiitaji Simba, leo Yanga inacheza, ila Yanga wote wanaiongelea Simba inayocheza Kesho kutwa.

Hilo ndilo lengo la Simba, kuiifanya Club iwe kubwa Tanzania na Africa mzima, mimi niwatake Muendelee kuweka mada mbalimbali za kuihusu Simba, kuna kitu mnatuongezea.

Simba mnajipya gani? Hadi msemaji wenu anawaita wapumbavu
 
Back
Top Bottom