Haya Nitawauliza: Wanaoafiki waseme Ndiooo

Hivi huu upuuzi wa kuweka herufi "H" pasipotakiwa mbonaunakua kwa kasi humu JF?
Ambao~Hambao
Mnakera vilaza nyie
Nadhan kajisahau tu huyu rafiki haandiki hvyo huyu..huyu sio wale!lol ..namm nimeshangaa nikasema leo nisimlike
 
Hivi huu upuuzi wa kuweka herufi "H" pasipotakiwa mbona unakua kwa kasi humu JF?
Ambao~Hambao
Mnakera vilaza nyie
Halafu cha ajabu,pale panapohitajika kuweka herufi "H" hawaiweki hiyo "H" ataandika "Alafu" badala ya "halafu" au "awezi" badala ya "hawezi",mifano ni mingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…