Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Umesha pata chakula lakini usiku huu? Tuanzie hapaWasio Afiki Waseme Siooo
Coment yako na ovatar yako wala haviendaniSiiiiiooooohhh kwa mambo Jiwe anayoyafanya huko kusini.
Hivi huu upuuzi wa kuweka herufi "H" pasipotakiwa mbona unakua kwa kasi humu JF?Hambao hatupo upande wowote tusemeje?
Dah...mzee na wewe ni hambao hawapo hupande wowote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hambao hatupo upande wowote tusemeje?
Nadhan kajisahau tu huyu rafiki haandiki hvyo huyu..huyu sio wale!lol ..namm nimeshangaa nikasema leo nisimlikeHivi huu upuuzi wa kuweka herufi "H" pasipotakiwa mbonaunakua kwa kasi humu JF?
Ambao~Hambao
Mnakera vilaza nyie
😂😂Dah...mzee na wewe ni hambao hawapo hupande wowote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hajambo@demihii imekaa ki ccm
Mnasinzia kama wasira tuHambao hatupo upande wowote tusemeje?
😂😂ujumbe gan?daah huyo kiumbe demi sijamuona humu kitambo, ulifikisha ujumbe?
Halafu cha ajabu,pale panapohitajika kuweka herufi "H" hawaiweki hiyo "H" ataandika "Alafu" badala ya "halafu" au "awezi" badala ya "hawezi",mifano ni mingi sana.Hivi huu upuuzi wa kuweka herufi "H" pasipotakiwa mbona unakua kwa kasi humu JF?
Ambao~Hambao
Mnakera vilaza nyie