NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Huyu atafukuzwa kwenye mechi ya marudio. Safari hii watajitahidi kumvumilia.Jamani naomba mnipe idadi ya makocha waliofukuzwa Simba katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Sisi mashabiki wa Simba ni wapuuzi sana hatuongei ukweli kuhusu uongozi wa Simba chini ya mangungu na benchi la ufundi lenye fitina na figisu nyingi.
Mwamedi tuachie timu yetu
Matola outMangungu out
Ni mbumbumbu kabisaMashabiki wa simba mna roho za kichawi