BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
I wish domo ndo awe baba mtt lile libibi zari silipendi basi, sema sina undugu wwt na domo....angekuwa ndugu yng ningefanya kila liwezekanalo aliache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alimshikia mguu[emoji23]Mange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
Tangu lini? ?Mwanamitindo
Ngekujibu lakini sijafahamu umri wako...elimu yako lakini hata uelewa wako tuu Wa maisha nini...pole lakiniI wish domo ndo awe baba mtt lile libibi zari silipendi basi, sema sina undugu wwt na domo....angekuwa ndugu yng ningefanya kila liwezekanalo aliache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimecheka sanahapo nyuma ya kamera kunakuwa na watu kibao unawaonyesha tu tumatako twako....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] imenibidi nicheke tuMh? Ili akuchukuwe wewe ama, !?
Umri unauhusiano gn na comment yng...hili jukwaa huru kama imekutachi pita [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]Ngekujibu lakini sijafahamu umri wako...elimu yako lakini hata uelewa wako tuu Wa maisha nini...pole lakini
Kukaa kimya ni busara ya bure pia
germve himself
nnato ila ndio hivyo natusitiri 24/7Bwahahahahaha wewe unatumatako nn?
nnato ila ndio hivyo natusitiri 24/7