Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

I wish domo ndo awe baba mtt lile libibi zari silipendi basi, sema sina undugu wwt na domo....angekuwa ndugu yng ningefanya kila liwezekanalo aliache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngekujibu lakini sijafahamu umri wako...elimu yako lakini hata uelewa wako tuu Wa maisha nini...pole lakini

Kukaa kimya ni busara ya bure pia

germve himself
 
Angekatoa tu nahako kapant ili hewa iingie vizuri. Ndio maana vijana wengi wa sasa hawawezi kufikiria hata kidogo.Huwezi kukaa uchi halafu ubaki salama kichwani never on earth.
armchair/thinking

mafisadi hayana rangi

mhh hadi kabati ya kitenge...!!!!
huu uzungu wa ujanjaujanja kazi kwelikweli
 
Ngekujibu lakini sijafahamu umri wako...elimu yako lakini hata uelewa wako tuu Wa maisha nini...pole lakini

Kukaa kimya ni busara ya bure pia

germve himself
Umri unauhusiano gn na comment yng...hili jukwaa huru kama imekutachi pita [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom