Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Mungu aturehemu...vitu vitatu

Moja :Ushamba...kutokuwa na namna yetu wenyewe ya kufurahia vile tulivyo. ..yaani urembo...lifestyle nk...tunakopy na kupaste

Uchafu/Kutojiheshimu...utovu tuu wa maadili...kuna mbumbumbu wengine humu humu eti watasema pambana na maisha yako

Tatu:Ulimbukeni/Ujnga...mtu Wa namna hii si ajabu uwezo wake Wa kufikiri na kupembua mambo mengi kama elimu...jamii...dini ...yeye ni nani nk ni Mdogo mno

La hofu ya Mungu si lisemi kwa sababu yuko mbali mno na hili

germve himself
Yaani umenena penyewe kabisa, hamna mtu wa maana hapo hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom