Agiza unacho tumia kwa gharama zangu,nitalipia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]hapo nyuma ya kamera kunakuwa na watu kibao unawaonyesha tu tumatako twako....
Amekuwepo kwenye group ngonoMange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
then itakuwa hasara kwako sio?Binti anazaa ovyo bila ndoa, mpaka akifika umri wa uzee atakuwa na kundi kubwa la watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabishana na shagingi kumbe,
Kajitawaze ulale
Wapemba wanajuana kwa vilembaHa ha ha haaaa
Shangingi tena!!! eeeeeh
Eeeh JF burudani
Are you male or female?
Huyo atakuwa ni shemale
hahaha, Yawezekana.Huyo atakuwa ni shemale
Na mkulu alishasema 'tufyatue tu' hakuna namnaDiamond anajiandaa kuleta kitu kipya duniani...ukiwa na pesa unaijaza tu dunia..safi sana
Aolewe wapi? Anazaa tu. Ndoa si kitu rahisi hivyo kwa watu wenye haraka na maisha!Uso umeonyesha alivyo bila editing... kumbe yupo yupo tu. Duh!!!
Ameshaolewa?
Umeona eeh, akili za kipuuzi puuzi tu! Hata kama ndo utandawazi hii sasa ni shida!Binti anazaa ovyo bila ndoa, mpaka akifika umri wa uzee atakuwa na kundi kubwa la watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni msemo wa mtu ambaye ukimuuliza maana halisi ya ndoa wala hajui na anaishi tu kwa hisia zake. Mradi jamii fulani inamkubali basi hajiongezi, watu wa aina hii huwa hawana maadili mazuri na wamekata tamaa kuhusu ndoaWanasemaga ndoa sio lazima! Hakuna umuhimu wa ndoa
Yaani umenena penyewe kabisa, hamna mtu wa maana hapo hata kidogoMungu aturehemu...vitu vitatu
Moja :Ushamba...kutokuwa na namna yetu wenyewe ya kufurahia vile tulivyo. ..yaani urembo...lifestyle nk...tunakopy na kupaste
Uchafu/Kutojiheshimu...utovu tuu wa maadili...kuna mbumbumbu wengine humu humu eti watasema pambana na maisha yako
Tatu:Ulimbukeni/Ujnga...mtu Wa namna hii si ajabu uwezo wake Wa kufikiri na kupembua mambo mengi kama elimu...jamii...dini ...yeye ni nani nk ni Mdogo mno
La hofu ya Mungu si lisemi kwa sababu yuko mbali mno na hili
germve himself
HahahahaaaaaaaBinti anazaa ovyo bila ndoa, mpaka akifika umri wa uzee atakuwa na kundi kubwa la watoto
Sent using Jamii Forums mobile app