umezaa na nani?we humuoni mke mwenza wa hamisa ana watoto watanoMaslahi ya kuzaa???
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mke mwenza kwa nani??umezaa na nani?we humuoni mke mwenza wa hamisa ana watoto watano
[emoji3] mbona hayo mambo kwa dunia hii ni kawaida sana...Mke mwenza kwa nani??
anyway i dont know abt her family and stuff.... i feel sorry for the kids... i wish she culd understand.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hivi umemsomaa,,ashukuru siku hizi sipo na jf kivile aisee,,,,haeleweki kabisa,,eti hatumjui mange,,waliokua wakichamba jf si ni sisi ulikuwaga unazuka mjadala humu mpaka ban zinatembeaa enzi hizo za blog yakeMeona ehhh?...yaani hata haelewekagi huyu bidada!
Tandale type I guess!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzimbambwe anajua kiswahili eti maana niliandikaga kiswahili akaniblock ahahjaja,,na zile nywele zake loo na kina recho shoga zake hahahaha
Duuh! Shost acha kujishusha khaa!hv kuna mtu hapendi kuzaa na daimond 20% labda
Si ndo maana nakwambia tandale type!Hivi umemsomaa,,ashukuru siku hizi sipo na jf kivile aisee,,,,haeleweki kabisa,,eti hatumjui mange,,waliokua wakichamba jf si ni sisi ulikuwaga unazuka mjadala humu mpaka ban zinatembeaa enzi hizo za blog yake
Eti mange aone wivu zari kaenda kenya na daimond kjhaa ,,wivu my foot
Lance kampata bidada mniga tena nae! ila jamaa anapenda papuchi za kiafrika!Huyo mzimbambwe anajua kiswahili eti maana niliandikaga kiswahili akaniblock ahahjaja,,na zile nywele zake loo na kina recho shoga zake hahahaha
Kwa hiyo lance yupo na nani now
Aibu Aibu nani ana shida ya kuona tumbo la mjamzito? Sasa mbona hakuna mhusika anayelikumbatia/kubusu? Au ni ujauzito wa vitro Fertilisation au ni Surrogate Mother?Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]
-Ndumilakuwili-
Mange anachuki binafsi kwa zari tena chuki zake zipo dhahiri shahiri lakini ndio hivo mwenye nacho atazidi kuongezewa ye apambane na uchumi wake na harakati.Mange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
wit wewe ndo unajua hilo!!wala sio kujishusha tunasema ukweli hapa!!watu wanaangalia maisha ya watoto zao baadae wangu!