Hivi rangi ya huyu dada halisi ni ipi hii au ile ya insta
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji144] [emoji144] [emoji144] kama ni hivo acha nipambane na hali yanguRangi yake inategemeana na mazingira Kama rejesta kwenye kiswahili
She has no brain private party zake lazima ziumie.Binti anazaa ovyo bila ndoa, mpaka akifika umri wa uzee atakuwa na kundi kubwa la watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Watatu wote ni wa ivan na waiwili wa mondi......uyu chakubimbi hamisa mmoja wa majizo uyo wa tumboni baba yake hajulikani atazaa tena na hajulikani mwingine huoni balaa hiloumezaa na nani?we humuoni mke mwenza wa hamisa ana watoto watano
Zari hata km anazaa ovyo lakini ana akili kulinganisha na hawa warembo wetu ambao wengi kumkichwa ni weupe.I wish domo ndo awe baba mtt lile libibi zari silipendi basi, sema sina undugu wwt na domo....angekuwa ndugu yng ningefanya kila liwezekanalo aliache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyonga huyo hatabiriki eti[emoji57]Hivi rangi ya huyu dada halisi ni ipi hii au ile ya insta
Zari hata km anazaa ovyo lakini ana akili kulinganisha na hawa warembo wetu ambao wengi kumkichwa ni weupe.
Zari yupo vizuri upstairs, hata kuzaa sana ni matokeo ya akili yake mana wengine huzichomoa mimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya hili la akili, ni mzuri kuwaliko hao akina Mobeto et al. Ana uwezo usiotia shaka wa ku-argue na ku-analyse issues kiasi cha kumfanya aweze kubuni na kusimamia vitu vinavyohitaji ubongo mpana (business issues, haitaji meneja)Akili ipi ya kuzaa au?!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Nimecheka mpka bchahaha, i bet she is not even above 25 or she is barely 24, lakini ana watoto wawili kwa wanaume tofauti ambao sidhani kama watamuoa.
Wakishazeeka ndo wanaanza kujifanya wamechanganyikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app