Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Hivi rangi ya huyu dada halisi ni ipi hii au ile ya insta
 
Rangi yake inategemeana na mazingira Kama rejesta kwenye kiswahili
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji144] [emoji144] [emoji144] kama ni hivo acha nipambane na hali yangu
 
I wish domo ndo awe baba mtt lile libibi zari silipendi basi, sema sina undugu wwt na domo....angekuwa ndugu yng ningefanya kila liwezekanalo aliache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zari hata km anazaa ovyo lakini ana akili kulinganisha na hawa warembo wetu ambao wengi kumkichwa ni weupe.

Zari yupo vizuri upstairs, hata kuzaa sana ni matokeo ya akili yake mana wengine huzichomoa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ipi ya kuzaa au?!
Kabla ya hili la akili, ni mzuri kuwaliko hao akina Mobeto et al. Ana uwezo usiotia shaka wa ku-argue na ku-analyse issues kiasi cha kumfanya aweze kubuni na kusimamia vitu vinavyohitaji ubongo mpana (business issues, haitaji meneja)

Mwanahabari yoyote kumhoji Zari inampasa ajiandae na inampasa awe critical na broad minded. Mond kapata!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom