Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

Nakumbuka mbali saaana
 
Mh!!!! Kujinyasi kote huko ilimradi tu ufanikishe uzinzi????? Mungu anawaona, sadaka kanisani hamtoi...... Jamaniiiiiiiiii[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Atakuwa anatoa coin za 200 eti ndio mungu huzipenda umeambiw mungu ni ongback ama [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha subaru nin mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Mjamaaaa umefikiria mbalii... Wadada maisha yao ya video.. Ndo mana wanazeekea kwao kwa baba na mama
 
Tena siku hizi kuna kitu cha Uber, unaweza kuta unatumia buku 3 tu[emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…