Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

Hahahahahaa wapenda vizinga na kitonga hao
Sijui walizaliwa sheli
 
Siku hizi nyie ndiyo mmekuwa wa pick me up, mmeanza kutuma vi meseji vya naomba hela, vocha etc. Tuna magari kama nyie siku hizi. Nahisi kama unaongelea wale wa demu wa enzi zileee siyo sasa hivi
 
Kweli kabisa,!!
Mna magari mliyopewa na sisi
 
Back
Top Bottom