Elineema Mosi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 255
- 72
yaani hawa watajua kusoma nakuandika ndani ya miaka 10 ila from there hawawezi endelea na kufikia nyota zao kamwe.kwa tunakoelekea watoto wa wenye nacho tu ndio wanaopata elimu bora wa maskini wanaishia hapo hapoa,ili huko mbeleni wamaskini watakuwa hawawezi kukompete kwenye soko la ajira ,na pale tutabaki kutwaliwa na matajiri nakunyonywa ,kiongozi atakayeweza ithamini elimu nakuwasaidia maskini wkapata elimu nitampa kura yangu ya uraisi hata kama ni lowassa
Ninachofurahia ni kwamba wole wenu mnao soma na kupata fedha nyingi kwani hukotuendako mtazila kwa tabu sana maana tuta wawinda na hata mkitupa kazi ya ulizi na uhausi boi na uhausi geri tutashirikiana na kaka zetu majambazi kuwa tungua......yaani hawa watajua kusoma nakuandika ndani ya miaka 10 ila from there hawawezi endelea na kufikia nyota zao kamwe.kwa tunakoelekea watoto wa wenye nacho tu ndio wanaopata elimu bora wa maskini wanaishia hapo hapoa,ili huko mbeleni wamaskini watakuwa hawawezi kukompete kwenye soko la ajira ,na pale tutabaki kutwaliwa na matajiri nakunyonywa ,kiongozi atakayeweza ithamini elimu nakuwasaidia maskini wkapata elimu nitampa kura yangu ya uraisi hata kama ni lowassa
utakaa sana what goes up not necessary to come downninachofurahia ni kwamba wole wenu mnao soma na kupata fedha nyingi kwani hukotuendako mtazila kwa tabu sana maana tuta wawinda na hata mkitupa kazi ya ulizi na uhausi boi na uhausi geri tutashirikiana na kaka zetu majambazi kuwa tungua......
Sijakupata kiongozi una maana gani luteni? Wamaanisha mimi mjinga? So huyo yule mika porojo na kusahau jimboni kwake ndio wa maana sio? changamka kijana Taifa linahitaji watu makini .yaani hawa watajua kusoma nakuandika ndani ya miaka 10 ila from there hawawezi endelea na kufikia nyota zao kamwe.kwa tunakoelekea watoto wa wenye nacho tu ndio wanaopata elimu bora wa maskini wanaishia hapo hapoa,ili huko mbeleni wamaskini watakuwa hawawezi kukompete kwenye soko la ajira ,na pale tutabaki kutwaliwa na matajiri nakunyonywa ,kiongozi atakayeweza ithamini elimu nakuwasaidia maskini wkapata elimu nitampa kura yangu ya uraisi hata kama ni lowassa
Kaka kuwa na subira Utamu wa ngoma ni kucheza, mwache aje mwenyewe kiongozi.Tuambie shule hii inaitwaje, ipo kijiji gani, kata gani na tarafa gani asije kwepa hapa