life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,035
:A S shade:
Ndugu wana JF,
Jina langu ni Elineema J Mosi.
Sasa jionee picha ya moja ya shule jimboni kwa Mwigulu Mchemba, ujionee hiyo elimu bora anayosema inatolewa na ccm yake. Watu wanajinasibu na kujipambanua kumbe jimboni kwao kupo hivi. Akibisha labda halijui jimbo lake kwa mipaka vizuri, nitaleta ushahidi hapa jf na maneno ya walimu husika ndani ya hiyo shule.
Asanteni.
Kwanza poleni Poleni sana waTZA. mie sioni tofauti kati ya CCM,CHADEMA,NccR,CUF au chama chochote...
Mashule kama hayo na mengine yataendelea tu. Watanzania hatuna muarobaini wa kutatua hali inayojirii, kitaifa.
" huu mjadala wa muda tangu enzi tulipoamua kujiTawala " kwa sababu hatukubali kusalimu amri !! Tunaendelea kuboronga tu !!