Haya sasa jionee elimu bora ya CCM

Haya sasa jionee elimu bora ya CCM

:A S shade:
Ndugu wana JF,
Jina langu ni Elineema J Mosi.
Sasa jionee picha ya moja ya shule jimboni kwa Mwigulu Mchemba, ujionee hiyo elimu bora anayosema inatolewa na ccm yake. Watu wanajinasibu na kujipambanua kumbe jimboni kwao kupo hivi. Akibisha labda halijui jimbo lake kwa mipaka vizuri, nitaleta ushahidi hapa jf na maneno ya walimu husika ndani ya hiyo shule.
Asanteni.

Kwanza poleni Poleni sana waTZA. mie sioni tofauti kati ya CCM,CHADEMA,NccR,CUF au chama chochote...
Mashule kama hayo na mengine yataendelea tu. Watanzania hatuna muarobaini wa kutatua hali inayojirii, kitaifa.
" huu mjadala wa muda tangu enzi tulipoamua kujiTawala " kwa sababu hatukubali kusalimu amri !! Tunaendelea kuboronga tu !!
 
Juzi nilimsikia meya wa moro mbele ya kinana akijidai eti ndani ya miaka2 wamejenge km5 za barabara ya lami ..wanatisha.
 
Mara nyingi nimepita humu bila kuchangia lakini kwa hapa iwapo kweli shule hii ipo Jimboni kwa Mheshimiwa na sehemu zingine zote zenye shule za namna hii ...siyo tu ni uzembe bali ni UKATILI ULIOPITILIZA KWA WATOTO HAWA KNUNYIMWA HAKI YA KUENDELEZWA ...inasikitisha,kuumiza na kutia hasira
 
kwamba ujenzi unaendelea au ulishamalizika muda mrf?
 
Back
Top Bottom