Haya sasa jionee kazi ya Pweza

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Jamani haina haja ya kutafuta vumbi la kongo au konyaji mambo yapo kwa pweza

Your browser is not able to display this video.
 
Ha ha ha ha mmama ameamua kukili kuwa shughuli pia anaiona kitandani,,,
Nimependa maana ametumia akili kutangaza biashara zake
 
Watu wa pwani mnamatatizo sana sasa huku meru hao nyoka tunakulaje!
 
Wewe dharau Lakin jibu utalipata kwa wazee wa pwani
 

Attachments

  • IMG_1669.MP4
    14.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…