Haya sasa, Mwenzi anahitajika huku

Mkuu kwa mfano nikikuroga ntakuwa nimekosea..?
Huo muandiko wa jamaa unafanana vipi na mwandiko wangu..?
Jamaa hana vibwagizo kama vyangu!.. mi huwa naweka hutu tu dot ... Pia yale maneno maarufu Kama komamanga ama kilamba mwiko au karungu yeye ama kenge huwa ni Mara chache kukosekana!..
Hata hivyo mi sitafuti manzi kwa sasa..😜
 
Wewe kweli hujui mapenzi. Hao wafupi na wanene watamu sana. Hutajuta
Hakunaga mwanamke mtamu. Utamu upo kwenye miili yetu wenyewe wanaume, pale tunafataga utelezi tu ambao tukisugua ndo tunajiskia utamu.
 
Mi mwenyewe nilishangaa eti miandiko inafananaje wakati mi mwandiko wangu ni kama bata kapita😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…