Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewah! I love my city Dar es Salaam!Dar ni Safi East and Central Africa
Weka hiyo link ya WHO, Millardayo ni blog ya kizushi hata nynyi watz hamuikubali.Wewe tambua kwamba mnatuwakilisha vyema jumuiya ya Africa Mashariki kwenye swala la ukapurwa hayo ma speculations mengine won't change none.
Kwani Kampala iko west africa?Haya sasa Nairobi ndio Jiji chafu kupindukia* kuliko Jiji lolote Africa Mashariki na kati report ya WHO imesema, Tanzania yaongoza kwa kuwa na miji misafi huku ikiwa na idadi kubwa ya miji misafi na yenye kupendeza
![]()
Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa.
Nigeria inaongoza list kwa kuwa na miji mingi michafu ikiwa na miji 12 ikifuatiwa na Afrika Kusini ambayo imeingiza miji 8 kwenye list hiyo. Jiji la Nairobi limetajwa kuwa chafu kwa upande wa majiji makubwa Afrika Mashariki hukuMorogoro ukiwa mji pekee kwenye list hiyo kutoka Tanzania.
![]()
But he probably wontTruth or not that Nairobi is the dirtiest in EA, Nairobi ni kuchaff cku hizi, and sumbody needs to be shown the door for this.
[HASHTAG]#KideroMustGo[/HASHTAG].
Nimeshawaona nyie Wakenya humu JF mmoja wenu akikubali kuhusu a certain bad news about you wengine wote mnakubali akipinga wengine wote mnapinga mpo kama nyumbu.apa naeza kubaliana na hii report...kidero ameharibu nairobi.useless guy.kuchimbachimba tu akipanda nyasi zenye hazimei,saa ii anazilima tena sijui anataka kupanda bangi ama nni...
everybody has his or her own opinion pal...tunadisagree tena sana but mwenye utamskia akisema kidero amefanyia kitu nai ni muongo.either ukabila unamsumbua ama hajielewi.its out there and everybody knows he has failedNimeshawaona nyie Wakenya humu JF mmoja wenu akikubali kuhusu a certain bad news about you wengine wote mnakubali akipinga wengine wote mnapinga mpo kama nyumbu.
Na si tuko na shida, ama ni mimi ndio niko na shida. Simtaki Kidero, Sonko pia simtrust.But he probably wont
Tumeikubali tu juu mazee, Nairobi usafi sikuizi kumedorora kiusafi, kwa hivyo kuna kaukweli kwenye hiyo ripoti.Mimi naikubali it's my primary source 😀😀
Ulichunguza wanaongelea kuhusu uchafu wa aina gani????? hapa haongelei uchafu vile unavyo fikiria, wanaangalia mambo kama hali ya hewa (Air quality)----- Miji mengine midogo kama hio morogoro ni uchafu unasababisha hewa kuharibika lakini miji mikubwa kama jo'berg SA, Port Louis,Nairobi, Kampala, hali mbaya ya hewa inasababishwa na moshi wa magari mengi barabarani.. Ndo maana unaona miji ya SA imejaa hapo manake huko wako na magari mengi na pia industries zimejaa..... Naijeria nao wako wengi kwahivyo hata kama magari ni 50% bado ni mengi sanan na yanachangia uharibifu wa hewa, pia Nigeria wako na oil exploration nyingi ambayo inachafua hewa na mazingiraHaya sasa Nairobi ndio Jiji chafu kupindukia* kuliko Jiji lolote Africa Mashariki na kati report ya WHO imesema, Tanzania yaongoza kwa kuwa na miji misafi huku ikiwa na idadi kubwa ya miji misafi na yenye kupendeza
![]()
Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa.
Nigeria inaongoza list kwa kuwa na miji mingi michafu ikiwa na miji 12 ikifuatiwa na Afrika Kusini ambayo imeingiza miji 8 kwenye list hiyo. Jiji la Nairobi limetajwa kuwa chafu kwa upande wa majiji makubwa Afrika Mashariki hukuMorogoro ukiwa mji pekee kwenye list hiyo kutoka Tanzania.
![]()
Time will tell. Ukiwa mwongo uwenakumbukumbu unasema hakuna mkenya aliyeleta Uzi wakuichafua tz?sasa hili ni jambo la kulinganishia? uchafu unaweza ukamalizwa kwa miezi micache tu ila ukija kwenye mambo ya uchumi, haiwezekani tz ikaipita Kenya kwa muda mfupi hivi..Pili, ukiona watu wa kuleta bad news kila uchao kama hawa, IQ yao lazma ni ndogo kwel kwel....huwezi ukamwona mkenya ameleta habari ya kuchafulia tz jina...instead, huwa wanaleta habari za maendeleo ya nchi yao kenya...