Haya sasa, Nairobi kinara mji mchafu kulindukia E. Africa Miji michafu zaidi Afrika 2017 (WHO)

Wewe tambua kwamba mnatuwakilisha vyema jumuiya ya Africa Mashariki kwenye swala la ukapurwa hayo ma speculations mengine won't change none.
Weka hiyo link ya WHO, Millardayo ni blog ya kizushi hata nynyi watz hamuikubali.
 
Kwani Kampala iko west africa?
 
Lakini swala LA uchafu ni lakiutawala ambalo linaweza malizwa Kwa mda mfupi lakini kiuchumi wenzetu Kenya wako vizuri ukanda huu e.afrika!
 
Truth or not that Nairobi is the dirtiest in EA, Nairobi ni kuchaff cku hizi, and sumbody needs to be shown the door for this.

[HASHTAG]#KideroMustGo[/HASHTAG].
 
Truth or not that Nairobi is the dirtiest in EA, Nairobi ni kuchaff cku hizi, and sumbody needs to be shown the door for this.

[HASHTAG]#KideroMustGo[/HASHTAG].
Now you are talking
 
apa naeza kubaliana na hii report...kidero ameharibu nairobi.useless guy.kuchimbachimba tu akipanda nyasi zenye hazimei,saa ii anazilima tena sijui anataka kupanda bangi ama nni...
Nimeshawaona nyie Wakenya humu JF mmoja wenu akikubali kuhusu a certain bad news about you wengine wote mnakubali akipinga wengine wote mnapinga mpo kama nyumbu.
 
kusema ukweli nairobi.na jiji moja chafu sana yani hapo hawajadanganya tena usiombee ukaenda siku mvua imenyesha..ukaenda maeno kama ya sokon muthurwa mjini kati kabisa ndio utajuta kuzaliwa,ukizingatia sisi watanzania tumezoea kuvaa sendles hapo ni kukanyaga tope mix uozo na mavi wao wameshajizoelea kuvaa gumboots.kinachoisaidia nairobi ni baridi tuu isingekuwa kuna baridi,kipindupindu ndio pangekuwa nyumbani kwake.
 
Nimeshawaona nyie Wakenya humu JF mmoja wenu akikubali kuhusu a certain bad news about you wengine wote mnakubali akipinga wengine wote mnapinga mpo kama nyumbu.
everybody has his or her own opinion pal...tunadisagree tena sana but mwenye utamskia akisema kidero amefanyia kitu nai ni muongo.either ukabila unamsumbua ama hajielewi.its out there and everybody knows he has failed
 
Mimi naikubali it's my primary source 😀😀
Tumeikubali tu juu mazee, Nairobi usafi sikuizi kumedorora kiusafi, kwa hivyo kuna kaukweli kwenye hiyo ripoti.
Lakn wewe umeleta hii ripoti kwa nia mbaya ya kutukejeli, ndo maana wakenya wanajaribu kujitetea, juu unaona hapo kwa list, Kampala ndio imetajwa hapo kama jiji kuu chafu zaidi. Lakini wewe umesema Nairobi ndio " kinara".
 
Ulichunguza wanaongelea kuhusu uchafu wa aina gani????? hapa haongelei uchafu vile unavyo fikiria, wanaangalia mambo kama hali ya hewa (Air quality)----- Miji mengine midogo kama hio morogoro ni uchafu unasababisha hewa kuharibika lakini miji mikubwa kama jo'berg SA, Port Louis,Nairobi, Kampala, hali mbaya ya hewa inasababishwa na moshi wa magari mengi barabarani.. Ndo maana unaona miji ya SA imejaa hapo manake huko wako na magari mengi na pia industries zimejaa..... Naijeria nao wako wengi kwahivyo hata kama magari ni 50% bado ni mengi sanan na yanachangia uharibifu wa hewa, pia Nigeria wako na oil exploration nyingi ambayo inachafua hewa na mazingira
 
Time will tell. Ukiwa mwongo uwenakumbukumbu unasema hakuna mkenya aliyeleta Uzi wakuichafua tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…