Haya sasa ni mateso bila chuki

Huo usingo ndy unaokudhuru!
Utatafuta sana mchawi !
Usicheze na usimbe!
Doze ina umuhimu wake!
Wenzio wakipeanwa "kimoja" tu ! Fofofo! Tena wamemboji mkekani !
Confy wanalionaga kunako Tv tu!

Umesomeka mkuu! Asante.........
 
na mie kama wewe ikifika saa 6 usiku nakuwa macho mpaka saa 12 vile watu wanaamka mie usingizi mzito balaaa inabidi nlale lale mpaka saa 1 ndo naamka ila kuanzia leo nitaanza kumeditate nilisoma darsa kwa Pasco na wewe kasome dia tuangalie matokeo
 
Last edited by a moderator:
na mie kama wewe ikifika saa 6 usiku nakuwa macho mpaka saa 12 vile watu wanaamka mie usingizi mzito balaaa inabidi nlale lale mpaka saa 1 ndo naamka ila kuanzia leo nitaanza kumeditate nilisoma darsa kwa Pasco na wewe kasome dia tuangalie matokeo

Nilivyokosa usingizi si nikaingia kwenye ule uzi yaani nimeusoma neno kwa neno page zote 7 zilizokuwepo wakati ule! ngoja nitaufanyia kazi!!! :busu
 
pole bestito ndo maana naona nakanyagwa kitandani wakati nikikoroma mwenzio
kumbe wala hulali unanishangaa na kunitolea :shocked: nikiota kwa nguvu mdogo
wangu kwanini usiniamshe nikufanyie maombi ya upako ili upate usingizi
Sasa leo niamshe nikuombee najua kuna nguvu fulani zinakunyima usingizi
 

Shukrani kwa maombi walau leo nimelala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…