Haya sasa, sarafu yetu ya MIA TANO hii hapa!

Thamani ya pesa tanzania inazidi kuporomoka sii muda mrefubBOT watatoa sarafu ya sh 10000
 
Mifuko itakuwa mizito balaa, noti zinapungua kwenye wallet tunabebeshwa mavyuma kilazima.

Ukiwa na hizo 10 si sawa na muuza chenji??

Ulimwengu wa noti huu sio hayo mabati.
 
Jaman hv kwanini hawa sirikali ya kijan tusiitoe
 
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily
 
Sababu walioitoa BOT ni kuwa 500 ya noti ambayo inatengenezwa na pamba huchakaa kwa haraka sana Ndio maana wanaleta sarafu sasa.
 
Tunaelekea Zimbabwe miaka 6 iliyopita. Mkate tu mtu unanunua bilioni mbili na unaenda dukani na gunia la pesa kwa ajili ya kununua mkate tu.
 
Nimejiwekea utaratibu wa kucollect coins, yaani ina a day matumizi yanayobakia ya coin nayaweka kwenye coin can na hizo shilingi mia tano nshaanza kuzichukia
 
Sababu walioitoa BOT ni kuwa 500 ya noti ambayo inatengenezwa na pamba huchakaa kwa haraka sana Ndio maana wanaleta sarafu sasa.

Ni sababu dhaifu sana..Lengo lao linajulikana..Huku kubadili ni changa la macho tu..
 
Mifuko itakuwa mizito balaa, noti zinapungua kwenye wallet tunabebeshwa mavyuma kilazima.

Ukiwa na hizo 10 si sawa na muuza chenji??

Ulimwengu wa noti huu sio hayo mabati.

Ha ha ha!!
 
Mifuko itakuwa mizito balaa, noti zinapungua kwenye wallet tunabebeshwa mavyuma kilazima.

Ukiwa na hizo 10 si sawa na muuza chenji??

Ulimwengu wa noti huu sio hayo mabati.

Good analysis, short & clear.
 
Ndo kawaida yao kila unapokaribia uchaguzi mkuu(rejea 2010),wanatafuta hela za kuhonga ndugu zetu kule vijijini.
 
noti za mia tano zilikuwa chafu sana haziifaii, bora wametoa sarafu
 
thanks kaka kwa post yako. wanaolalamika sana we waache.
 
Nimejiwekea utaratibu wa kucollect coins, yaani ina a day matumizi yanayobakia ya coin nayaweka kwenye coin can na hizo shilingi mia tano nshaanza kuzichukia

Naenda kununua kibubu....
Humo coins za 500 tu ndio zinazotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…