Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu walioitoa BOT ni kuwa 500 ya noti ambayo inatengenezwa na pamba huchakaa kwa haraka sana Ndio maana wanaleta sarafu sasa.
Mifuko itakuwa mizito balaa, noti zinapungua kwenye wallet tunabebeshwa mavyuma kilazima.
Ukiwa na hizo 10 si sawa na muuza chenji??
Ulimwengu wa noti huu sio hayo mabati.
Mifuko itakuwa mizito balaa, noti zinapungua kwenye wallet tunabebeshwa mavyuma kilazima.
Ukiwa na hizo 10 si sawa na muuza chenji??
Ulimwengu wa noti huu sio hayo mabati.
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily
Nimejiwekea utaratibu wa kucollect coins, yaani ina a day matumizi yanayobakia ya coin nayaweka kwenye coin can na hizo shilingi mia tano nshaanza kuzichukia