HAYA SASA UYO NDO WW

HAYA SASA UYO NDO WW

Ningeendelea kukata mti tu, huyo nyoka angeaangukia mtoni mamba wakamla, halafu mi nabaki na shoka langu kupambana na simba
 
bora ya chatu angenimeza mwili mzima na sio kutafunwa na hao wengne 😉
 
Ukisikia utakipata cha mtema kuni ndiyo huyo.

Hapo ndipo Unaliita jina la Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho mtakatifu; kwa sara nzito na kuganda hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom