Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Mmechangishwa hela eti kwa ajili ya "Kucheza mechi" (kuwapa waganga hela ili waroge timu ishinde).
Haya sasa kiko wapi?
Waganga hawakujua kama mechi it's hairishwa?
🤣🤣🤣🤣
Nakumbuka kuna mechi moja jamaa wa tawini kwetu walichangisha hela ili timu ishinde halafu timu ikatoka draw.
Sikia watu wa kamati walivyo jitetea: Sisi tuli fanya kazi ya kuzuia tusifungwe magoli🤣🤣🤣
Ujinga ujinga mtupu.
Haya sasa wale mliochangishwa hela kupeleka kwa waganga nendeni mkadai hela zenu.
Mmeliwa Mara mbili. Mmeliwa na. Makanjanja wa kwenye Matawi ya timu zenu. Mmeliwa na NCard pia.
Waafrika acheni kuendekeza Imani za kishirikina. Kuamini ushirikina ni ulemavu wa akili