gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Aah wapi. ...ur always curious...Hahahahahahaaaa hamna mimi ni pacha wake na curiousπππππ
Hahahahahhahaaaa haya bhanaAah wapi. ...ur always curious...
Vipi saizi hauskii usingizi??au umeziba maskio [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahahahhahaaaa haya bhana
Hahahhaahahahaa nimefungua mimacho kwa nguvu zoteVipi saizi hauskii usingizi??au umeziba maskio [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeshaanza kutoka toka nje...[emoji28] [emoji28] [emoji28] ...Hahahhaahahahaa nimefungua mimacho kwa nguvu zote
Siku hizi najitahidi sio kama zamaniUmeshaanza kutoka toka nje...[emoji28] [emoji28] [emoji28] ...
Whatttttt???I need a friends from Tanzania naona ilipaswa kuwa hapa sio kwa kutuvunja mbavu kule KIBOD3
Lini nije nikutoe out??[emoji4] [emoji4]Siku hizi najitahidi sio kama zamani
Ni social network.Cjakimbia ila sina muda wa kupoteza kila saa kukaa ktk socual network
Babu huyu mjukuu wako naona aliamua kutuletea comedyWhatttttt???
Njoo tuLini nije nikutoe out??[emoji4] [emoji4]
Nani alikuambia huyo ni mjukuu wangu??Babu huyu mjukuu wako naona aliamua kutuletea comedy
Watu Wanasema mtihani mgumu ni wa Form 4 ....Lakini mi nachojua mtihani mgumu ni pale jamaa mwenye michepuko mingi anapotuniwa SMS na mmoja wa demu zake kwa kutumia Namba ngeni: ONA HII
Demu: Mambo?
Jamaa; Poa nani?
Demu: Happy
Jamaa: Happy nani?
Demu: heee!! Kwani unawajua wangapi?
Jamaa: Mmoja
Demu: mtaje
Jamaa: Happy birthday
Basi babu sio mjukuu wako......natengua kauli yanguNani alikuambia huyo ni mjukuu wangu??
Tengua kauli...
Baada ya kusema hayo haya nambie sasa... nini kilijirishwa na huyu mwanamtokapabaya?Basi babu sio mjukuu wako......natengua kauli yangu
Alikuwa anajifanya ameishi USA akawa anaandika broken hatari halafu anajifanya hajui kiswahili......eeeh watu si wakaanza kufukua makaburi yake bhana heheheheheheeeeeee.......Baada ya kusema hayo haya nambie sasa... nini kilijirishwa na huyu mwanamtokapabaya?