HAYA SASA

HAYA SASA

Watu Wanasema mtihani mgumu ni wa Form 4 ....Lakini mi nachojua mtihani mgumu ni pale jamaa mwenye michepuko mingi anapotuniwa SMS na mmoja wa demu zake kwa kutumia Namba ngeni: ONA HII
Demu: Mambo?
Jamaa; Poa nani?
Demu: Happy
Jamaa: Happy nani?
Demu: heee!! Kwani unawajua wangapi?
Jamaa: Mmoja
Demu: mtaje
Jamaa: Happy birthday
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Ushajifunza kiswahili ndugu whatsap?
 
Baada ya kusema hayo haya nambie sasa... nini kilijirishwa na huyu mwanamtokapabaya?
Alikuwa anajifanya ameishi USA akawa anaandika broken hatari halafu anajifanya hajui kiswahili......eeeh watu si wakaanza kufukua makaburi yake bhana heheheheheheeeeeee.......

Sasa ebu niambie babu kuna mmarekani hapa kwa kuangalia anavoandika
 
Back
Top Bottom