HAYA SASA

HAYA SASA

KIBOD3

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
151
Reaction score
228
Watu Wanasema mtihani mgumu ni wa Form 4 ....Lakini mi nachojua mtihani mgumu ni pale jamaa mwenye michepuko mingi anapotuniwa SMS na mmoja wa demu zake kwa kutumia Namba ngeni: ONA HII
Demu: Mambo?
Jamaa; Poa nani?
Demu: Happy
Jamaa: Happy nani?
Demu: heee!! Kwani unawajua wangapi?
Jamaa: Mmoja
Demu: mtaje
Jamaa: Happy birthday
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

young kilimanjaro
 
Back
Top Bottom