DODOSO REFU
Member
- Sep 16, 2012
- 12
- 0
It has been a while now tangu tulipokuwa na kihoro cha kutaka kujua tcu na heslb kuna nini.Mengi yamesemwa na mengi yameandikwa hatimaye kila kitu kipo wazi wenye presha zimeshuka ila naamini wengine bad😵MBI LANGU SASA TWENDE CHUO KUSOMA NA C KUIGA MAMBO UTAPOTEA.Ndugu zangu wale ambao mambo bado tcu au heslb kila kitu kinawezekana usikate tamaa fanya haraka kufuatilia na utafanikiwa.Ahsanteni.